Wednesday, September 2

X Anaenda Kupata Baraka za Bibi wa Mbinga...

Hello wadau, leo nasafiri, Xchyler anaenda kubata baraka za Bibi na Babu Mapunda wa Mbinga, Tutakuwa huko wiki nzima, tukijichana kwa kuku na bata wa kienyeji, tukishushia na maziwa.
Kwa hiyo, mkiona blog inachechemea mtusamehe, raha zitakua zimezidi...picha a huko kama kawaida.

1 comment:

Anonymous said...

safari njema sana, mkajichane mwezavyo na msisahau kuja na dagaa nyasa. nawatakieni kila la heri.