Mimi Xchyler Mapunda nawatakia heri ya X mas watoto wenzangu woooote, ambao ndio wadau wakuu wa glob hii ya watoto.
Pia nawatakia heri ya X mas wazazi wao, na ndugu zao wengine wooote wanaiisapoti glob hii.
Nawatakia heri ya X Mas Anti na Anko zangu bila kusahau ndugu, jamaa na marafiki wengine wooote pamoja na wale niliowapata niliowapata kupitia glob hii.
Salamu pia ziwafikie bibi na babu zangu, Mr & Mrs Alipo wa Chang'ombe na Mr & Mrs Mapunda wa Mbinga.
Na mwisho kabisa nawatakia heri ya X Mas mama na baba yangu, Mr & Mrs Mapunda wa Kijitonyama.
Nawapenda woooote.
Have a Merry Christmas.
1 comment:
du mtoto anaonekana atapenda totoz huyu akiwa mkubwa, mungu amsaidie.
hongera mama yako inaonekana anakupenda na ameshamsahau mumewe sasa
Post a Comment