Saturday, December 27

Ubatizo- Kelvin Pongo

Mtoto Kelvin Pongo akipata ubatizo siku ya kuzaliwa krtistu.

Hapa ni kanisani wakati anabatizwa.


Padre akimshika sikio.

Hapa anapakwa mafuta utosini.

Akipewa anapewa mshumaa.


Hapa Kelvin akiwa amekula pozi home anasubiri keki yake na zawadi.
Na sisi tunampongeza kwa kupitia hatua hiyo ya kwanza katika maisha yake ya Kikristu na tunamtakia kheri.

2 comments:

Anonymous said...

Very good!

penina said...

- Eh mtoto mdogo anabatizwa jama!!
mbona hatutaki kurudi katika maandiko tutaendekeza mapokeo hadi lini jama?

- imefika wakati sisi wakubwa tusome maandiko tuelewe na tuachane na mambo ya kuburuzwa buruzwa makanisani.