Monday, January 7

My motherhood favourate things!

Happy New Year, jamani msharudi au bado mko holiday?Mie niko full hapa...
Juzi kati nilikua nasoma article ya favourate things za Oprah, nikapata wazo (call it kukopi na kupaste if you like LOL) mimi favourate things zangu ni zipi?

Nimezilist hapa, kizuri kula na wenzio, kibaya... nazitumia kila mara, nazipeeeeeenda balaa!

Organics Shea Butter detangling hair lotion

Ningejuaje bila kuwa na binti...afu nikapata mtu anayepractise ya kizuri kula na wenzio...Nimenunuliwa na workmate, Anna Temu (mama LeRoy & Lakisha), kuchana nywele sio issue tena, acha nifuge afro la mwanangu mie kwa raha zangu maana nywele keshapewa na bibi'ye!
Thanks Anna (mwenyewe anadai analipia mahari taratibu)

UNATAKA KULA NAMI VIZURI VINGINE? ZAMA NDANI...



Plastic sandals!

Napenda kwangu mwenyewe na watoto...hizi za Xy ndio nimezizimia sana.
Ana rangi na style kibao...pia ni cheap balaa, buku mbili tu! so nanunua kila nikipenda!


Kitabu(kiswahili): Saa Ngapi?

Hiki kitbu kimeandikwa na Sauda S. Kalumanga...it is the only book ya kiswahili ambacho kiko level ya kumsomea mtoto wa miaka 3-5. I love it, X loves it, thank you Sauda.

Kitabu (english):

hii ni dictrionary ya watoto. Nilipewa zawadi na co-worker alikuja nacho toka kwao Canada...it is sooo goood!!! Nimemsomea Xy siku moja, akasika neno moja tu, 'ball' so ukimfungulia kitabu chochote anakwambia 'booo'!

Cartoon Channel: Disney Junior 


Jamani hapa do I need to add anything, maana cartoon zote kali za kitoto ziko huku!!!

Crazy colour tenga la plastic dogo

nna pink na green...unatumia unavyotaka, nguo chafu au toys, wewe tu!

Home remedy ya kikohozi!

Ni dawa ya kikohozi, mi niliambiwa na Dr Kisenga (wa Muhimbili, pia huwa yuko Sanitas Jumatano jioni na Jumamosi).
Unachanganya maji ya kunywa(mi huwa naweka kikombe kimoja ambacho mtoto anaweza kumaliza kunywa), na asali (kijiko kimoja) na ndimu/limao (nusu), unapasha kidogo, then mgonjwa anakunywa!
Yes, that simple, inatibu wote watoto kwa wakubwa as long as si kikohozi cha bacteria infection(kama nilimwelewa Doctor vizuri), anyyway, point is kwa familia yangu imefanya kazi na imeondoa trip za hosp kwa ajili ya kikohozi...jaribu uone.
Thanks Dr Kisenga!

Wet Wipes

Kiukweli sikujua uwepo wake hadi nilipoanza kufanya shoping ya vitu vya X. Sasa hivi nnazo kila sehemu, kwenye gari, kwenye pochi, mezani kwangu, chumbani kwangu...mikono michafu, kitu kichafu maji yako mbali, no problem, natumia wet wipes tu!


Cartoon: Doc McStuffins


 Hii ndio imeanza mwaka huu, naipendaje DSTv kwa kuiweka Jumamosi na Jumapili asubuhi...hii ndio mid morning entertainment ya wanangu kwa wikend! Naipendea nini: Kwanza it is educative. Afu it is a girl doctor (yes mara nyingi wazo la kwanza mtu akisema doctor ni mwanaume), tatu it is black, my girl can rightly associate with her!

Uji Lulu

Xy anapenda kula karibu kila kitu...ila this Tanzanian product makes me proud to be Tanzanian, good package inavutia hasa, na Xy anaupenda kichizi...hata watu wazima wanaupenda, maana ni mtam mno! Unapatikana supermarket nyingi tu.

Zangu ni hizo! una favourate things zako? usitunyime, tupia hapo kwenye comment!

8 comments:

Anonymous said...

Nataka Uji Lulu na hizo ndala kwa ajili ya Tina wangu

Jiang said...

Uji Lulu uko supermarket nyingi tu...ila mimi huwa naununua TSN supermarket...ndala nenda kwenye masoko masoko, kama mwenge, karume, mwananyamala, tandika, manzese...

Anonymous said...

Hongera dada, ila hujasema uji lulu unatayarishwaje mpendwa

Anonymous said...

uji lulu umejaa tele supermarkets kweli mtanzania huyu anahitaji pongezi kubwa na adumu milele na hii biashara...
nimezipenda ivo vindala safi sana

Anonymous said...

thx jiang kushare na sisi vitu vizuri mie naitaji uji lulu je umewekwa nini maana mdau wangu apendi kula sana nadhani huo utamsaidia ila ningependa kujua una nini

Jiang said...

According to the package Uji Lulu una:
Ulezi, Mahindi (kienyeji), soya, karanga mchele, ndizi,karoti, mchicha.

Anonymous said...

Nice.....thnx for sharing.

Unknown said...

Asante sana Jiang huwa nausikia watu wanasema mzuri lkn mm nilikuwa nahofia kumpa Carine wangu. lkn je kwa umri aliofikia miaka 3 na miezi 5 je anaweza kuunywa huo UJI LULU????

by mama Catine