Monday, December 1

Baby Gadgets - Bath Tub


Davis Mlingi akiwa bize kweye bathtub yake. Ukiwa na kifaa kama hiki, lazima upende kumuogesha na yeye atayapenda maji, coz bath time inakuwa fun time!

4 comments:

Anonymous said...

jamani lakini hii ni hatari mtoto kukaa juu hivi unaweza kuona mzazi anafanya ufahari mambo yakaharibika sijapenda

Anonymous said...

kweli nasuport apo akiangukabalaa

Anonymous said...

hiyo unatumia mtoto akiwa mchanga sana ukiisimamisha ila huku unatoa hayo machuma ya kusimamia then unaiweka kwenye big tab na hauruhusiwi kwua mbali na mtoto kwani anaweza kuzama in second.

Anonymous said...

wewe jiang kulikoni comments zangu hutoi, sio unachagua comments za kutoa, be professional kama mama Igra!