Patricia Mabeyo Alipotimiza Miaka Mitano (5yrs)
B'day girl akiwa katika pozi. Pati ilifanyika shule, hiyo ni tarehe 12, Sept 2008.
Hapa anawaonyesha wenzake miaka anayotimiza siku hiyo.
Mh, hapo wanawaza kula keki tu, kuanzia wanaoimba hadi anayeimbiwa!
Swadakta, ule muda uliokuwa unasubiriwa ndio umewadia, at last keki inakatwa.
Mama mzaa chema, Nelly Mtema, akilishwa keki na mwenye bethidei.
1 comment:
Jamani hiyo shule ni St.Columbus? Mhh mwanangu anasoma hiyo shule so nimewaona wanafunzi wenzake nimefurahi sana. Tena yuko darasa hilo hilo, i think ni la Teacher Wellu. Tena huwa anamtaja sana Patricia. Happy B'day Patricia.
Post a Comment