Monday, June 1

Watu Wanapendelea Kujua Jinsia ya Mtoto Kabla Hajazaliwa

Kwenye poll iliyokuwa inaendelea kwa taktibani wiki tatu na ikafungwa jana inaelekea watu wengi zaidi wanapendelea kujua jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa, maana 66% wamepigakura hivyo, wakani ni 33% tu waliosema kuwa hawapendelei kujua kabla.
Mimi binafsi, kiukweli napenda suprises, so nisingependa nijue kabla, napenda nijue mara baada ya kujifungua.
Stay tuned, napandisha nyingine soon!

1 comment:

Anonymous said...

mimi napenda nifahamu jinsi ya mtoto ila ni vyema kuuchuna ili familia, marafiki wasifahmu hadi siku ya kujifungua. Hata Baba mtoto inabidi kumficha asijue