Thursday, October 22

Brian kipenzi cha mama

Mdau Brian Msongo akiwa na mama.
Mtoto huyu ni kipanzi cha ugali, naskia afadhali umnyime chochote lakini sio ugali... natamani X angekua hivyo, maana alivyo mbishi kula, angependa walau chakula kimoja ningefurahi!
(Kidole kama kawa).

5 comments:

Anonymous said...

mh, Basil kumbe huyu ndio shemaji yetu...hongera, naona kakupatia kidume cha ukweli!

Anonymous said...

jamani brian kakua, kumbe huyu ndio mama yake...hongera kwa kutukuzia wifi.

Anonymous said...

Brian mikono ya Mama mitamu jidai uwezavyo, hongela mama kijana anapendeza sanaaaana, kila la heri katika safari ndefu ya maisha yako.

Anonymous said...

hongera basil kwa kupata mtoto mzuri hivi na huyu ndo wifi yetu hongera sana umejua kuchagua. sasa ndoa lini?

Anonymous said...

Congratulations mama..mtoto mzuri kweli huyo...