Friday, October 23

Ney & Micha

Mdau mpya Neema ameona na yeye ajidai na baba yake Micha.
Mtoto ni mzuri kwa kweli, cute, cute cute...na afya imekubali.

3 comments:

Anonymous said...

Jamani mbona raha Neema umependeza sana, hongela wazazi

Anonymous said...

Jiang,Neema si mdau mpya wa muda hasa labda umemsahau! Neema alikualika kwao STUTTGART wakati uko Germany,sema tu siku hizi kakua.Muangalie 19th June 2009

Anonymous said...

Neema you are sooooo cute!