Friday, June 5

X - Portrait ya Mwaka Mmoja

Hii ndio picha ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya Xchyler.
Wazazi wake tunapenda sana kuweka kumbukumbu za picha,mtu ukiziangalia baadae unakumbuka mbali sana, kama hii, Mungu akijaalia, miaka 30 ijayo X atacheka sana.
"Mam & dad love you more than anything"

3 comments:

Unknown said...

Inaelekea X anapenda sana picha maana anaonekana ame relax sana, Mungu akujalie maisha mema.
Mama Kenneth
http://womenofchrist.wordpress.com

Anonymous said...

Mr Penguine he looks a like !

Anonymous said...

Mama X mimi nimezimia raba ya mwanao, hebu nielekeze umenunua wapi nikamnunulie kijana wangu jamani