Tuesday, July 14

Issa na Ibra

Wadau wapya Issa & Ibrahim, hawa ni mapacha wanafanana sana kisura, hata hawatofautishiki kwa kuwaangalia.

Hapa ndani ya kanzu, I wish hii picha ingekuwa kubwa, maana wametpendeza sana!
Tofauti yao issa anapenda sana mpira na kucheza na watoto hasa watoto wa mtaani huwa anapenda kuwa pipi na chupa yake ya maziwa.


Ibra anapenda sana kucheza na wanyama mbwa paka kukimbiza kuku na kuongelea kuchezea michanga na kupigana na kaka yake but akiona kaka yake amekasirika anamkiss na kumhug.


1 comment:

Anonymous said...

how lovely...
so beautiful twins its my life dream

i pray to God to gv me them kwakweli