Wednesday, August 12

Kata keki tuleeeee....
Aanasiadiwa kumlisha mama (Stellah Nyemenohi) keki...

Brian na 'jirani' yake, Zain...puppy love?


Brian akitafakari, baada ya party...'kula nimekula, kunywa nimekunywa...bado nini?'

Akipozi na mama...hapa ni kulala tu.

3 comments:

Anonymous said...

hongera sana Brian kwa B. day yako mmependeza sana na hongela sana mama mzaa chema Umeiaanda vizuri sana siku hii. mbarikiwe wote.

Anonymous said...

jamani watoto kweli ni raha tupu. Zaidi wakitunzwa vizuri kama hawa ninaowaona kwenye hii tafrija. hongera stela na brian

Anonymous said...

naomba nisaidiwe hivi huyu mtoto ndie stella nyemenohi nilimuona mjamzito mwaka jana? ama kweli mtoto wa mwingine anakua haraka. Mungu amjalie mama na mwanawe huyo handsome boy. Amenivutia sana.