Mdau Brian Kamugisha ametimiza mwaka mmoja (1) Jumapili iliyopita tarehe 9 Agosti, 2009. Hapa ni kwenye shamrashamra ndogo zilizofanyika nyumbani kwao siku hiyo.
Birthday boy na keki yake...na mshumaa mmoja.
Birthday boy na keki yake...na mshumaa mmoja.
Ndugu, jamaa na marafiki walikuwepo kufurahia birthday ya Brian.
Wadau wa Mama na Mwana tunamtakia maisha marefu yenye kheri na fanaka.
No comments:
Post a Comment