Huyu ndio mdau wetu namba moja toka huko visiwa vya marashi, Zenj, anaitwa Yasser Abdul-Azizi Hamid.
Ana miezi tisa (9), kama mnavyomuona hapo ameona hata asipitwe na yanayoendelea huku bara baada ya kuwaangalia wenzie kwa muda mrefu nae kajiunga nasi, na sisi tunamwambia 'karibu sheikh'.
Mama yake, Amina Kheri Hamid, anasema mdau sasa ana vijino sita, kupendezesha smile.

1 comment:
Jamani umerudi tunashukuru sana.
Natumai umemkuta X katika hali nzuri kuliko ulivyotarajia
hee,mbona mama X mdau naba 1 ni Hosam,mmhh imebidi ni comment kidogo kw ahili,maana Hosam asije kukosa zawadi,hahaaa,ya kuwa mdau namba 1 kutoka zenji.
Byeeeeee
Post a Comment