Sunday, August 16

Malkia Cleopatrarita

Kwa kweli amependeza, kama malkia wa ukweli.
Cleopatrarita anawasalimu bibi na babu yake(Mr&Mrs Shayo) wakiwa Dar es Salam, bibi yake wa Mwanza(Mrs. Rose Rutasitara) Uncle zake woote, Mamamdogo(Miyam), Aunt Rede na Aunt Ana.

No comments: