Wednesday, September 23

X Anaota Moto

Moja ya raha ya kwa bibi Litembo ni baridi kali, so ikifika jioni ni kuota moto, utamu kama huu dDar tunausikia tu.

2 comments:

Anonymous said...

Dogo x,alivyowezea kukaa kwenye kigoda ka kazaliwa hukohuko, he is smart, yani amekaa kwa kujiamini ka anajua anachokifanya vile.

Anonymous said...

Sasa we bwana X apo umenikumbusha mbali sana sana, ni kweli ni wakati wa baridi kwa mlipokuwa uko. umependeza sana ni mengi ya kujifunza kutoka katika picha za safari yenu. Asante.