Wednesday, September 23

Happy Birthday Collins

Leo ni birthday ya mdau Collins Johnson, amezaliwa 22/sept/2003, kwa hiyo leo anatimiza miaka sita. Hongera ma'mtu Judith Rwakyendela, kwa kukuza.
Wadau wa Mama na Mwana tunamuombea Mungu amjaalie Collins maisha marefu yenye kheri na fanaka tela.

No comments: