Thursday, September 24

David Anatokea Kili

Katika wale mapacha wapenda Arsenal, huyu ni David, ye anasema ingawa yuko Denmark, ukiangalia kofia yake tu, utajua asili yake wapi, the land of Kilimanjaro.

No comments: