Mdau mpya toka A-City. Anaitwa Athina Spiro, ni m-beauty wa ukweli, na ana pozi za ukweli, kuhusu jina hata sisemi, aliyewahi kulisikia aseme! Mi nimempenda sana, wadau mnasemaje?
8 comments:
Anonymous
said...
kweil katoto kazuri sana, na kana pozi za ukweli, ila jina lake mbona lipo sana na wala sio geni kiivyo.
mwenzangu sijawahi kulisikia hilo jina we utakuwa unasemea asina ila la huyu nazani ni athina and not asina ila kwa kweli mashalah mtoto ni mrembo mweneyezi mungu amkuze hongera kwa wazazi wa athina.
8 comments:
kweil katoto kazuri sana, na kana pozi za ukweli, ila jina lake mbona lipo sana na wala sio geni kiivyo.
Preeti preeti,simple stunning..natural beauty de pic has a sense of warmth&serenity..I l.O.V.E YOU Athina
Preeti preeti,simple stunning..natural beauty de pic has a sense of warmth&serenity..I l.O.V.E YOU Athina
mwenzangu sijawahi kulisikia hilo jina we utakuwa unasemea asina ila la huyu nazani ni athina and not asina ila kwa kweli mashalah mtoto ni mrembo mweneyezi mungu amkuze hongera kwa wazazi wa athina.
Athina!! aka ANEY!!!
VERY VERY VERY BEAUTIFUL.
ALLAH AKUZIDISHIE MAMY.
disminder.
Nimempenda bure huyo mtoto so adorable....sama shule sawa binti....
Hilo jina lipo sana tu mitaani, tena sana hasa. Nimempenda mcute sana but jina siyo unique.
jina la kigiriki,labda mmoja wa wazazi wake ni mgiriki.greece
Post a Comment