Mama na Mwana pamoja na wadau wote tunawatakia kheri wanetu, wadogo zetu, dada na kaka zetu wote wanaoanza mitihani ya Kidato cha Nne leo hii.
Wizara ya Elimu imesema kuwa jumla ya wanafunzi 351,958, wavulana 183,755(52.2%) na wasichana 168,203 (47.8%) wanafanya mtihani huo leo.
Wizara ya Elimu imesema kuwa jumla ya wanafunzi 351,958, wavulana 183,755(52.2%) na wasichana 168,203 (47.8%) wanafanya mtihani huo leo.
Kila la kheri woooote!
No comments:
Post a Comment