Monday, October 5

Birthday ya Nasri Ilinoga...

Nasri Charunga alitimiza mwaka mmoja tarehe 24 Septemba.
Mama na Mwana inamtakia maisha marefu yenye kheri telee!

Keki ya ukweli!

Kata keki tuleeee, huyo anayekazana kupiga makofi ndio mama, Zena Chande.


Anasema siku hiyo mdau Nasri wala hakuwa na mood ya pati, so alikua hataki chochote, si unaona alivyoigeuzia shingo hiyo keki!

Ila all ain all, ni kwamba sherehe ilifanyika, wadau wakafurahi, na baadae Nasri alifurahia kuchezea keki kama hivyo.

No comments: