Mdau Nadya Amuma wa Dubai akiwa anapata mlo wake...(hapo vijino viko msitari wa mbele kung'ata) Kula baby, akina mama siku zote tunapenda mtoto anayependa kula kwani mwili haujengwi kwa matofali wala haulindwi na wamasai.
1 comment:
Mama Nadya
said...
Mwaa Nadya...Haringi kula wala hachagui kula nadhan atakuwa ana mwili wa Kimiss...Vijino vimezidi kuongezeka....I LOVE YOU SO MUCH MY SWEETIE BABY....U R EVERYTHING TO ME.
1 comment:
Mwaa Nadya...Haringi kula wala hachagui kula nadhan atakuwa ana mwili wa Kimiss...Vijino vimezidi kuongezeka....I LOVE YOU SO MUCH MY SWEETIE BABY....U R EVERYTHING TO ME.
Post a Comment