Malaika hawa wamewasili mwaka huu, 2009, nasi tunawakaribisha kwenye blog hii maalum kwa ajili yao wajumuike pamoja na wenzao.
Mungu awape wazazi wenu nguvu, hekima, akili, uwezo, maarifa, hali na mali za kuwawezasha kuwakuza ili msherehekea siku za kuzaliwa nyingi mbeleni!
NB: Kama kuna niliyemsahau kwa bahati mbaya wala asijisikie vibaya, anishtue tu, nami nitamjumuisha na wenzake.
NB: Kama kuna niliyemsahau kwa bahati mbaya wala asijisikie vibaya, anishtue tu, nami nitamjumuisha na wenzake.
3 comments:
Dada Jiang naona umewasahau wadau wako Ryan na Ronald Godphrey
Sorry kwa kuwasahau wadau, naomba nitumie tarehe zao za kuzaliwa ili niwajumuishe na wenzao...
Hi,
pia umemsahau Rispa-Lilian 06/05/2009
mama Rispa
Post a Comment