
Mdau Alcuin Bahati anatufungulia birthday wishes zaq mwaka huu, 2010, kwa kutimiza mwaka mmoja leo hii. Afu nilimsahau kwenye wadau wapya wa 2009...

Mama na Mwana inamtakia mdau maisha marefu yenye kgheri na fanaka tele. Hongera ma'mtu Frida Waane na ba'mtu Frank Bahati kwa kukuza.
No comments:
Post a Comment