
Hii ni zaidi ya kutoka mchicha, maana kabla ya yote mdau mwenyewe ni m-cute mnooo,
halafu pigo lake liko co-ordinated toka juu kwenye crown, hadi chini kwenye hizo stockings...kwa kweli kapendeza.
naona tumenyimwa kuona viatu...hata sijui vikoje!
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Jasleen maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.
4 comments:
cute jasleen.
Huyu ni Jasleen au Violin?
ni Jasleen, nilichemsha, asante kwa kunishtua!
waoo kagauni kamempendeza huyu jasleen...karembo
Post a Comment