
Xchyler akiwa na aunt yake anaitwa Irene Peter 'Love' hii ilikua siku ya mwaka mpya, tarehe moja. Wawili hawa huwa siwaingiliagi, mara wanuniniane, mara wapigane, mara wa-chum, mara waleteane zawadi, basi mi nawaangaliaga tu.
Kama kawaida ya watoto yeye amekimbilia kwenye simu tu!
5 comments:
Safiiii...............
watoto watundu wengi wanapenda sana cm hata ukimpa cm ya toy ataitupa
Wagombanao wapatanao.
disminder
halafu wanavyofanana kama mama na mwana!!!!
kweli wamefanana ile mbaya
Post a Comment