Thursday, March 18

Aurelia toka kibonge hadi mrembo...

Kwa kweli tunatoka mbali mno...
mdau Aurelia akiwa mchanga kabisa...mashallah, mtoto ana afya!

Hapa ni alivyo sasa hivi...bonge la mrembo, na swaga kibao!
Hizo nywele hatakagi ziguswe!cha kushangaza zinampendeza hivyo hivyo!

1 comment:

Anonymous said...

Very cute Mashallah.


disminder.