Thursday, March 18

Baba na mwana mgongoni....

Mdau huyu alibabwa na kamera yetu siku za hivi karibuni. Ni mkaka tu wa kawaida, kajibebea mwanae mgongoni, anadunda mtaa kwa mtaa, shida hataki!
SWALI: 
wababa wangapi mnaweza kubeba watoto wenu mgongoni mkapita nao mtaani kama hivi?

2 comments:

Anonymous said...

Nimeipenda, mambo kusaidiana.


disminder.

Anonymous said...

Sauala sio kusaidiana ,tatizo ni muda .Mfano mimi kuanzia saa 12:00 asubuhi mpaka saa moja usiku niko kazini natafuta chakula cha watoto nitapata wapi muda wa kwenda kliniki na mtoto.Aidha niache kazi ..