Martina Chambiri ni jina maarufu sana kutokana na wimbo wa Tanzania eeeh, ambao mtoto huyo aliuimba mwaka 1994 na ukatokea kupendwa na watu wengi hasa watoto, vijana na hata watu wazima ndani na nje ya nchi katika miaka 1994 na 1995.
Kujua anafanya nini tangu miaka hiyo na maendeleo yake kwa ujumla msome kwenye website ya HabariLeo.
3 comments:
cute kama alivyokua...
Tandhania eeee Tandhania aaaaaa
very cute girl.
disminder.
Nimemuona leo nika realise nimezeeka, kama kweli ndo amekua mdada basi nimezeeka maana mi naona kama juzi kaimba wimbo huo!!!!!!
na for some reason i was emotionally moved kila nikiusikia wimbo huo...
Post a Comment