Friday, March 19

Unapakumbuka Kidonge Chekundu??


Enzi zetu sikukuu ilikua hujatoka hadi upelekwa kidonge chekundu...
....siku hizi ni mambo tofauti kabisa...kidonge chakundu kunachezewa mpira na watoto wachache wakati sehemu kama Merry Brown ndio zinatamba kwa kupagawisha watoto!

No comments: