Friday, March 19

Natty na mama

Mdau Natty akiwa amekula pozi na MAMA YAKE, Mama Natty.
Nimeweka mama yake herufi kubwa makusudi, maana watu wananishangaaga mimi na mwanangu Xchyler, eti nilimuweka wapi, haya huyu si anaonekana kama mtu na mdogo wake tu!na walivyofanana!
Hongera Mama Natty, keep up the look, coz you look mmwaaah!

No comments: