Tuesday, August 3

Birthday party ya Colman ilinogaaa

 Mdau Colman Francia wa Arusha alitimiza miaka miwili, na hizi ndio picha za birthday party yake...

...mambo ya kijoti haya...hapa yuko na brother wake Collins...

...poziii...

...brother kawa mtundu jamani...


...Ma'mtu Joyce with her boys...beautiful!

1 comment:

Anonymous said...

So lovely!!!!