Showing posts with label Birthday Party. Show all posts
Showing posts with label Birthday Party. Show all posts

Thursday, June 13

Birthday party ya Hoka ilinoga haswa!

Birthday girl...beautiful Hoka...
Hoka birthday tarehe 24/5/2013 alisharehekea akiwa na marafiki zake na majirani zake. 

..tamtam... 







"Namshukuru mungu sana kwa mwanangu kufikisha miaka hiyo mungu azidi kumkuza vema."
Asante mama yake Hoka.

Thursday, March 14

Happy birthday Aika!





Aika Gene Green akipozi tayari kwa kukata keki "Dora keki" ya kusherekea kutimiza miaka miwili tarehe 2/21/2013. Aika anaishi Columbus, Ohio nchini Marekani na Mama yake ambaye ni mtanzania Cecy Njau na Baba yake Lucius Green mmarekani.


tamm-taaaam!

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunakupa hongera sana Haika.

Monday, October 1

Birthday ya Mohamed ilivyokuwa

 Alisindikizwa na Cleopatra. Ilikuwa jana tarehe 30.09.2012

 Mama mtu alikuwa busy.

 Waliona kisu kinawachelewesha mkono ukachukua nafasi yake.








 Baba na mama mtu pamoja na watoto. Style ya kula keki ndo ilikuwa kama mnavyoona mdomoni mwa Cleopatra.





 Wadau wakimwimbia.




 Niliwakilishaaaaaaaaaa.


Ni maswahiba hawa watoto toka wapo tumboni hahahaha.

Mama na mwana inamtakia Muddy maisha marefu. Akue na kuongezeka imani.

Thursday, August 30

Xy's birthday - Onja

...hii ndo tam tam yenyewe...Yes, tweety, nilimchagua mam'tu, since binti hana uchaguzi kwa sasa... 



 ..part hii hakuipenda sana...

...biggie tulimpick toka shule moja kwa moja kwenye birthday, na uniform zake! 


...brothely love...

Happy (belated) birthday Tony


Mdau Anthony Mgheni (Tony) ametimiaza miaka miwili Alhamis iliyopita ya tarehe 23.  

...tam, tam...

 Alikata keki home akiwa na mama (Martha) na baba... 

...baba na mwana...

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Tony maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 



Friday, May 11

Bonge la b'day bash for Risper

...huyu ndo birthday gal mwenyewe, anaitwa Risper...she is now 3years. 
Birthday yake ilikua tarehe 6 May. Hongera sana cutieee. 

...Risper na mom, Rachel... beauty is in the genes jamani! 

...tamtam ya mdoli... 


...kata-keki-tuleee...nani asiyependa muda huu? 






baada ya marafiki,  then kwa mama

Thursday, May 10

Happy birthday Justus



Mdau Justus ametimiza miaka sita (6) jana tarehe 9, May. 
Hapa anamlisha mamie wake Alice Ngubwene


...Tam tam... 



Birthday boy aki-kata-keki-tule shuleni kwake, Filbert Bayi School, Kimara