Showing posts with label Cleopatra. Show all posts
Showing posts with label Cleopatra. Show all posts

Tuesday, January 8

Cleopatra introducing to you Ommy

Ni kaka yake wa hiari,
Anampenda sana, hata akiwa analia akimwona Ommy hunyamaza na kuanza kumchekea.
Na hapa walikuwa wanajiandaa kwenda Beach siku ya Boxing Day.
Ommy karibu rasmi kwenye uwanja wenu wa kujidai wa MamanaMwana. 

Saturday, December 29

Patra at Kijiji Beach


 

 Akicheza mpira wake.

 Baada ya kushushwa kwenye maji baharini aliogopa mno. Kilio kilimtoka

Mama na Mwana
 Baba na Mwana

Thursday, December 20

Toto escorting mama to work

Dah utoto bwana raha sana. 
Wakati mama anaondoka kwenda kazini watoto wengi huwalilia. 
Hii ilikuwa pia kwa Patra.
Yeye akiona tu nishabeba handbag huanza kulia na kunifata nimbebe, lakini furaha yake nimbebe nitoke nae hadi nje ya geti ndipo aniage huona raha japo siku nyingine kama nina haraka huwa nampotezea. Ila utaratibu wa kunisindikiza ndo ulimfanya aache tabia ya kujiliza. Wananisindikiza hadi kituoni kisha wanarudi nyumbani ndogondogo.
Leo pia nilisindikizwa.
Mcheki 


Mswaki ni kitu chake cha kwanza kukumbuka mara tu baada ya kuamka. 
Leo alichelewa kuamka hivyo alichelewa kuswaki. 
 Zaidi Bonyeza hapo kushoto

Thursday, June 7

Cleopatra kapozi na baba

Ukishamchekesha hutoa kicheko kilichopitiliza. Kacheeeeeka mwenyewe

"Aah Msinizingue ngoja nijilie dole langu mimi" says Cleopatra

Ndo kwanza walitoka kuamka hata uso hawajanawa.
Eti ni kweli wamefanana au kafanana na mimi?



Tuesday, March 6

Cleo naye alikua kwenye photoshoot...

Cleo akiwa na ma'mtu Xtina kwenye photoshoot shuleni Kibasila Sec jana mchana...


...Yap, unaweza sema superstars are born, not made ukitaka... Mdau Cleo, amefanya photoshoot kwa ajili ya jarida la Fema. Mtaziona zenyewe zitakazo tumika later... (XTina hebu tupe mchapo ilikuaje kwenye shooting). 

Wednesday, February 29

Introducing Christine & Cleopatra

Xtina akiwa na Cleo...wamependezaje???

Hapo juu kulia utaona kuna jina jipya. Huyo ni mdau mwenzetu, anaitwa Christina aka Xtina , mwanae anaitwa Cleopatra aka Cleo.

Xtina ndio ntakua nasaidiana naye kuweka mambo sawa hapa bloguni. So mkimuona hapa mjue yuko nyumbani.