Saturday, January 15

Carine amebatizwa!

 Mdau Carine alipata sacrement ya ubatizo hivi karibuni...sherehe ikaunganishwa na ya birthday maana ilifuatana...

 Hapo ilikuwa ni muda mfupi tuu baada ya kupata sacrament ya ubatizo...amabebwa na masister wa kanisa la Roma...
 Kulia ni mama yake Carine anayefuata ni sister na Carine wachini hapo ni mpambe wa Carine kulia ni mama msimamizi wa Carine wengine ni marafiki.
 
 
....hapa sasa ndio kwenye mnuso home...Carine kafurahiiiii....

....mchum, mchum, mchum....mwhahhh...hata kama hataki, Carine anampa kiss ya ukweli mpambe wake...

 ....mdau Carine alikua ana furaha tu siku yake hiyo maalum...cuuuute!

3 comments:

Anonymous said...

Asante kwa upendo wenu kwetu

Anonymous said...

Mcute huyo jamani. mpe kiss yake

Anonymous said...

Waaaaaaaaaaaaw very cuuuuute God Bless her