Leo mdau Shambara Matheus anatimiza anatimiza miaka saba (7).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Shambara maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.
1 comment:
Anonymous
said...
Kwa niaba ya shambara nasema asante sana mama na mwana,Leo nimekuwa mkubwa na nimeanza kuoga mwenyewe rasmi. Nilienda shule lkn birthday party yangu ni jumamosi at wacky warehouse.Karibuni wote wadau wa mama na mwana.Nitatuma picha zangu za birthday. Haya ni manano ya shambara yaliyoandikwa na mama yake. Asante.
1 comment:
Kwa niaba ya shambara nasema asante sana mama na mwana,Leo nimekuwa mkubwa na nimeanza kuoga mwenyewe rasmi.
Nilienda shule lkn birthday party yangu ni jumamosi at wacky warehouse.Karibuni wote wadau wa mama na mwana.Nitatuma picha zangu za birthday.
Haya ni manano ya shambara yaliyoandikwa na mama yake.
Asante.
Post a Comment