Samahani wadau kwa kupotea ghafla, niliumwa mara tu baada ya mwaka mpya, na Xchyler naye akaumwa after, so sikuweza hata kuwatakia mwaka mpya mwema...saa tunaendelea vizuri, sha-rudi job, na Kaila amefungua shule jana bila shida.
Natumia nafasi hii kuwatakia wote Mwaka Mpya Mwema.
Cheers, Jiang.
No comments:
Post a Comment