Saturday, December 29

Onja: Xmas tulikua Mbinga!!!

X-mas ya Mbinga hawatumii miti ya plastic...kitu cha kujikatia mwenyewe on Xmas morning...Xchyler akiwa na cousin bro, Raphael baada ya kukata matawi ya kutosha!

 Xyleen alideka sana...kila saa 'bebee'...
 hapa yuko na cousin sister, Lisa...


...maembe yako mengi sana...toka mtini hadi mdomoni! 

...Xchyler akiwa na cousin, Felix, wakicheza na mbuzi! 

...ingawa kibaridi cha December sio kikali kama cha September (tulipoenda two years ago) ila kipokipo...so kuota moto muhimu...Xchyler akiwa na cousin brothers...dogo alijifanya anajua kila kitu hadi kuchochea moto!!!

 ...kama wewe ni mdau wa zamani unamkumbuka huyu mbwa...anaitwa Zuma, Xchyler alifurahi sana kumuona tena...
...akamuintroduce to sister...Binti alikua anamuogopa, actually chochote chenye miguu minne kilikua kinaogopewa, huku anatamani kushika...anaita 'duduuu'

...at last ilibidi tuagane tu...we real had great time, no wonder wachaga hawaachi kwenda kuhesabiwa, na sisi ndio tumeanza mwaka huu, tuna mpango wa kuendeleza,kila december tunaenda kuhesabiwa kwa bibi Mbinga while bonding with cousins, sister n brothers!

Mo pictures coming...subiri suprise ya yaliyojiri huko!!!

5 comments:

Anonymous said...

Unanikumbusha mambo ya kwa bibi hadi raha. naona brother kafurahia sana hiyo safari ya Mbinga, unajua mtoto muda fulani anamisi mazingira ya utulivu kama hayo.

Ni vizuri kuwa na safari kama hizo angalau kwa mwaka mara moja ili watoto wajue mazingira yote.

Nimeipenda sana sana.

Anonymous said...

Aliyebebwa kafurahi huyo! Tabasamu lake tu linaonesha utamu wa mgongo. Felista wangu akijisikia tu anadai ``mama bebe gongoni`` Yeye sasa akibeba doli lake haichukui dakika kumi ameshamuangusha eti ``mama Feli soka beba toto``

Jiang said...

Hahaaaa...mama Felista umenichekesha sana...kwa hiyo na wewe uwe unamuweka chii afu unamwambia umechoko kumbeba...ha ha ha...watoto are so funny!

Jiang said...

Hahaaaa...mama Felista umenichekesha sana...kwa hiyo na wewe uwe unamuweka chii afu unamwambia umechoko kumbeba...ha ha ha...watoto are so funny!

Jiang said...

Anony No 1: Yes ni kweli, kupeleka watoto kwa bibi muhimu sana...angalau mara moja kwa mwaka!