Showing posts with label Idd el Fitri. Show all posts
Showing posts with label Idd el Fitri. Show all posts

Sunday, September 12

Newton akisherehekea Iddi

NEWTON AKIWA KATIKA HEKA HEKA ZA EID  MORO TOWN.

...swagga za Iddi...



Friday, September 10

Happ Eid



Collin na Colman  francis wa arusha wanawasalimu wadau wote wanawatakia kila la heri nafanaka ktk sikukuu ya EID! hayo ndo mapozi yao ktk EID.

Eid Mubarak

 
Placid Kidiru anawatakia heri ya Eid Mubaraka wadau wote wa mama na mwana...

Eid Mubarak


 MDAU NEWTON WA MOROGORO ANAWATAKIA WATOTO WOTE EID MUBARAK.

 Mama na Mwana pia inachukua nafasi hii hii ya mdau, kuwatakia wadau wooote sikukuu njema ya Eid/Iddi, hasa wale waumin wa dini ya kiislam.
(picha za wadau wakila sikukuuu)

Sunday, September 20

Idd Mubarak

Ingawa nimechalewa, kutokana na majukumu, na kutojua kwamba sikukuu hii ni leo hadi saa nne asubuhi, na saa hiyo tayari nilikua nimeshabanwa.
Kwa hiyo nachukua nafasi hii kuwatakia Iddi Mubarak wadau wote...hasa wale waliofunga mwezi mtukufu, Mungu awajaalie maisha na nguvu ya kuiona Ramadhani ijayo muweze kufunga tena.