Sunday, September 20

Idd Mubarak

Ingawa nimechalewa, kutokana na majukumu, na kutojua kwamba sikukuu hii ni leo hadi saa nne asubuhi, na saa hiyo tayari nilikua nimeshabanwa.
Kwa hiyo nachukua nafasi hii kuwatakia Iddi Mubarak wadau wote...hasa wale waliofunga mwezi mtukufu, Mungu awajaalie maisha na nguvu ya kuiona Ramadhani ijayo muweze kufunga tena.

No comments: