Felista anawatakia sikukuu njema watoto wote.
Pamoja na baridi yeye alipenda kucheza nje kwenye snow.
Mama na Mwana pia inakutakia sikukuu njema, hope ulifaidi Xmas na uta-enjoy sana New Year...tunasubiri picha...
Mariam Said,
Mimi Xchyler Mapunda nawatakia heri ya Mwaka Mpya 2009 watoto wenzangu woooote, ambao ndio wadau wakuu wa glob hii ya watoto.
Mimi Aidan P. Kileo na mdogo wangu Mcute Malaika P. Kileo tunawatakia Heri ya mwaka mpya baba na mama Mr. & Mrs P. Kileo, Babu T., Bibi Bebby , Dada Miza, Hajra, Chuki, Dada Geraldina na wooote wanaotupenda, na watoto, Wazazi na wabibi na wababu woooooote, Duniani
Xchyler akiwa amekula pozi akitafakari kwa makini jinsi ya kuuingia 2009, hiyo Jumatano usiku. (hapa aligoma kabisa kucheka)