Wednesday, December 17

School Bus

Hii ni kwa wenzetu, sijui kweli au uzushi...Anyway, yetu yaliishiaga wapi vile...? Mi hata sikuwahi kuyapanda, na sioni X akiyapanda, maana ni suala ambalo hata haliongelewi kabisaaa.