Saturday, January 31

Happy Birthday Eve


Happy Birthday Evelyne Noah, leo anatimiza miaka 12. Xchyler, na wadau woote wa Mama na Mwana tunamtakia maisha yenye kheri na fanaka tele.
"Love you auntie" - Xchyler.

1 comment:

Anita said...

hongera sana eve, umekuwa mdada hasa! Mungu akuzidishie miaka tele yenye furaha!