Friday, February 6

Introducing Harriet

At last baada ya kumtembelea hivi karibuni nimefanikiwa kupata picha za mtoto wa modo wetu, Regina Kumba, anayeitwa Harriet aliyezaliwa tarehe 9 Jaunary. She is such an angle.

2 comments:

Rashid Mkwinda said...

Nimefurahi kutembelea kijamvi chako kinazungumzia watoto tu, hadi raha ni kijamvi cha aina yake hapa nchini sijapata kukiona kwa wanablogi wengi, inabidi kitangazwe kweli kipewe umuhimu wake katika jamii

Anonymous said...

wau regina,hongera tena,mtoto mzuri,nilikuwa namsubiri sana huyo babay ili nione kama nimepata mkwe wa kufaa,sasa naona atamfaa kijana wangu,nakuja kuleta posa mapemaaaa kabla sijawahiwa.Ehe tell me mtahitaji nini na nini tuje navyo kabisaaa!!!!teheteheeeeeeeee!