Friday, March 13

Breaking Newzzz...Zeze Katuletea Fashonista

Nimepata habari sasa hivi, kupitiakwenye comment ya mdau Mama Raheem, kuwa Shostiso Sahmimu Zeze wa 8020 Fashions amejifungua mtoto wa kike usiku wa kuamkia leo.
Kwa niaba ya wadau wooote wa mama na mwana hongera sana mama, Mungu akubariki wewe na mwanao muendelee kuwa na afya njema.
By the way, huyo mchumba alishawahiwa na X tangu akiwa tumboni!

1 comment:

Anonymous said...

Hongera sana Zeze! Tunawakatika afya njema wewe pamoja na mtoto.