Monday, March 16

Baba na Mwana - Jayson na James

Jayson na baba yake, James.
Wadau huyu mtoto bado sijajua amefanana na nani, ukumwangalia akiwa na mama yake ni kama amefanana na mama, na baba yake hivyo hivyo, ntatafuta picha wamepiga waote watatu ili wadau tuwafananishe vizuri.

1 comment:

Anonymous said...

Jayson na James wamependedhaaa!