Tuesday, March 24

Esther & Vincent

Esther Secelela Kusekwa (14yrs) akiwa na mdogo wake, Vicent Kusekwa (3yrs)a.k.a “Mwana Manyika”. Hawa ni kaka na dada wa Vallencia, alitokea last week.
Mama yao, Lulu Kilonzo anasema "Nawapenda sana watoto wangu na watoto wazuri wengine wote duniani."

1 comment:

Anonymous said...

best nieces and nephews ever..lol