Tuesday, March 17

Happy Belated Birthday Prince

Huyu ndio birthday boy mwenyewe, pozi kibao, anasikilizia utamu wa keki tu.
Hii ndio keki yenyewe.

Wadau kibao waliudhuria, afu inaelekea keki ilikua tamu sana maana wamefurahi haooo.


Happy Belated Birthday Prince, birthday yake ya kutimiza mwaka mmoja ilikua tarehe 2, February, kama mnavyoona picha ilifana haswaaa.
*****
NB: Wadau naomba muwe mnanitaarifu birthday za wanenu kama a week before, ili niwe natuma salamu mapemaaa nikiambatanisha na picha yake ye kawaida, afu picha za tukio zinafata baadae.

2 comments:

Anonymous said...

Huyo Prince ana mapozi mi staki jamani. happy birthday P

Anonymous said...

mmh huyo mwenye birthday p jamani linamapozi balaa, sijui karithi kwa mama au baba,, mmh mmemrithisha balaa