Wednesday, March 18

Hosam Anammiss Mama

Hosam akiwa anacheza kwa bibi yake, anammiss sana mama yake ambaye yuko masomoni na alimuacha akiwa na umri wa mwaka mmoja na mwezi. Hapa ni miezi sita tangu awe mbali nae,na sasa ana mwaka mmoja na miezi saba.
Mama Hosam anasema, "Na mmiss sana ila ndio hivyo tena namtafutia maisha yake ya baadae."
Na mimi namwambia Mama Hosam, aendelee kutafuta maisha ya baadae, Hosam atakuwa ok kwa bibi, ili mradi akirudi atakuwa nae, na maisha yatakuwa mazuri.

2 comments:

Anonymous said...

Usijali Hossam mama nae anakumiss kwa sana na kila siku anakukumbuka ila ndio hivyo yupo katika kukutafutia maisha mazuri ya baadae,Inshallah karibuni atarudi na mutakuwa pamoja,nami pia baba yako mdogo nimekumiss sanaaaaaaa

Anonymous said...

jamani Hossam,pole usijali baby mama atarudii