Wednesday, March 18

Happy Belated Birthday

Wadau woote wa Mama na Mwana wanamtakia mwenzao Bhikolimana Tutuba Happy Belated Birthday, ambapo tarehe 5 March alitimiza mwaka mmoja.
Hongera sana, Mungu akujalie maisha marefu yenye heri na fanaka tele.

No comments: